Header Ads

Tundu Lissu: Utawala Wangu Utainyosha Serikali ya Magufuli...!!!


Rais wa wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) Tundu Lissu, amesema utawala wake utahakikisha unainyoosha serikali ya awamu ya 5 ili ifuate misingi ya sheria.
Amesema hivi sasa nchi inakabiliwa na hali mbaya ya uvunjifu wa haki kutokana na baadhi ya viongozi kujiona wapo juu ya Sheria

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.