Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / UKIMYA wa Mwanamuziki Naj Watia Mashaka...Je Baraka The Prince Kamnyima Kufanya Muziki? Jibu Lipo Hapa

UKIMYA wa Mwanamuziki Naj Watia Mashaka...Je Baraka The Prince Kamnyima Kufanya Muziki? Jibu Lipo Hapa

| No comment
Mwanamuziki wa bongo fleva ambaye pia ni mpenzi wa Baraka The Prince, Naj amekanusha kukatazwa kufanya kazi za muziki na mpenzi wake huyo ambaye naye ni mwanamuziki na kudai usimamizi wa biashara za familia ndiyo unaomuweka kuwa 'busy'


Naj ameyasema hayo hivi karibuni baada ya kuulizwa juu ya ukimya wake kwenye sanaa na kama mapenzi ndiyo yanayomnyima kufanya kazi zake.
"Watu hawajui, its not him, mimi mara nyingi kwenye muziki wangu huwa naachaga gap na ni kwa sababu huwa si-focus na muziki pia kama kwa sasa nimeingia mkataba na kina JB wa ku-shoot tamthilia, season 1 tayari kwa sasa tunaendelea na season 2 lakini kitu kingine ni family business ambazo mimi nikiwa huku ndiyo mtu ninayezisimamia nikiondoka ndipo ninapata muda wa kufanya muziki na mambo mengine mengi" alisema Naj
Kwa upande mwingine Naj amesisitiza kuwa Baraka ndiye mtu ambaye anamsisitiza sana kufanya ngoma na katika wimbo mpya anaotarajia kuachia siku za karibuni mpenzi wake huyo anamchango mkubwa