Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Ukweli Ndio Huu..Wanawake Ndio Hufaidi Tendo la Ndoa..Ila Wengi Ndio Huishia Kudhulumiwa..!!!

Ukweli Ndio Huu..Wanawake Ndio Hufaidi Tendo la Ndoa..Ila Wengi Ndio Huishia Kudhulumiwa..!!!

| No comment
Somo langu la leo ni juu ya wanawake  kuenjoy zaidi tendo la ndoa. Nikwambie tu kuwa kati ya mwanamke na mwanaume linapokuja swala la kufaidi na kufurahia sex basi ni mwanamke ndio anafaidi zaidi.
Lakini cha kusikitisha ni kuwa wanawake wengi hudhulumiwa raha hii na wengi wao; sababu kubwa ikiwa wanaume wengi hawajui jinsi ya kuwapa raha wanawake lakini pia kwa wanawake wao wenyewe kutokuwa wazi na kujieleza vema kwa wenzi wao.
Mwanaume kwake sex ni sex haina mashiko yoyote ndio maana ni rahisi wao kukojoa hata kwa punyeto , kulala na kichaaa , wasaidizi nyumbani , yaani hoe hae. Akishakojoa basi akili inabadirika kwenda kwenye mambo mengine. Wao huendeshwa na kutamani zaidi.
Mwanamke kwake sex ni hisia – Mwanamke hawezi fanya sex na mtu kama hana feelings nae na kama ikimlazim afanye kwa maslai mengine basi atafanya tu kumridhisha huyo mtu na yeye apate anachotaka ila sio kwa ajili ya kufurahia tendo la ndoa. Kwa mwanamke sex is LOVE and FEELINGS
Wanaume wanakuwa wao ndio wa kwanza kujiona wanapenda sex ila ukweli ni kuwa wanawake wanapenda sex zaidi ya wanaume ila kutokana na mazingira na malezi wanawake huficha hisia zao ila huzifungua wanapopata partner muelewa na kupelekea wao kuenjoy tendo.
Hapa sina cha kukwambia nini ufanye maana wa kufundishwa ni mwanaume. Ila usijali sana nitakuja na waraka mwingine wenye maelezo ya nini cha kufanya kuweza kusaidiana na mwenzako