Header Ads

UPDATE:PICHA 12: Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe walivyokutana na waandishi

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake walikutana na waandishi wa habari kuzungumza juu ya tukio hilo zima, hizi ni baadhi ya picha kutoka kunakofanyika mkutano huo.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.