Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: JPM akabidhiwa Ripoti ya Uhakiki wa Vyeti vya Watumishi wa Umma – Dodoma Je Bashite amepona?


Leo April 28, 2017 Rais Magufili amekabidhiwa Ripoti ya Uhakiki wa Vyeti vya Watumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbu wa Chimwaga mjini Dodoma.
Mbali na kukabidhiwa ripoti hiyo Rais Magufuli amezindua pia sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma ‘UDOM’. UDOM ilianzishwa mwaka 2007 na mwaka huu wa 2017 inatimiza miaka 10.
Bonyeza play kutazama hapa chini…


No comments:

Powered by Blogger.