Header Ads

VIDEO: Lulu Diva amebainisha dhamira ya safari yake Afrika Kusini


Ayo TV Entertainment na millardayo.com imeweka kambi nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha hupitwi na kitu mtu wangu wa nguvu ambapo leo April 20, 2017 imekutana na msanii Lulu Diva ambaye anatueleza sababu za yeye kuwepo nchini humo.
“Kipindi hiki nimekuja kufanya media tour yangu kusambaza wimbo wangu, kwa sababu nilikuwa nahitaji wimbo wangu hadi nchi za jirani. Video zangu karibia zote, nimefanyia South Africa. Kwa hiyo, nimeona nije kupromote muziki wangu huku. Nataka kuwaonyesha watanzania kuwa wanawake pia tunaweza kufikisha muziki wetu nje ya Tanzania.” – Lulu Diva

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.