Header Ads

VIDEO: Majibu ya Waziri Mwakyembe kwa wanaouliza uwepo wake kwenye press ya Roma

April 12, 2017 Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni kujibu hoja za baadhi ya watanzania kusema ni kwanini alikuwepo kwenye mkutano wa msanii Roma Mkatoliki alioufanya na Waandishi wa habari Dar es salaam.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.