Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / VIDEO: MH WA SHABIBY MBUNGE WA GAIRO AWAUMBUA WABUNGE WANAFIKI

VIDEO: MH WA SHABIBY MBUNGE WA GAIRO AWAUMBUA WABUNGE WANAFIKI

| No comment


Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby alisimama Bungeni kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasialiano ambapo kati ya vitu alivyoishauri serikali ni pamoja
na kuacha tabia ya kuingilia baadhi ya majukumu ya bodi inazokuwa ikiziunda kwa ajili ya utendaji.
Shabiby amesema…>>>’Hakuna watu wanafiki kama sisi baadhi yetu wabunge, miaka ya nyuma tulikuwa tunapiga kelele tunashindwa hata na nchi kama Rwanda kwa kutokuwa na ndege, leo ndege zimekuja mnasema ndege sio kipaumbele cha kwanza’ –Ahmed Shabiby
Mimi nasema vyote ni vipaumbele lakini viongozwe kwa mujibu wa sheria za kibiashara, mfano unaunda bodi inawataalamu alafu yanatoka maagizo ya kuingilia hiyo bodi’ –Ahmed Shabiby
Kutakuwa na faida gani ya kuweka bodi mpya? Kama mmeweka bodi acheni zifanye kazi zake, hakutakuwa na maana mnaweka bodi alafu mnaiingiliaingilia , acheni watu wafanye kazi zao hii ni biashara jamani’ –Ahmed Shabiby
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…