Header Ads

VIDEO NA PICHA KWENYE MSIBA WA NICODEMUS WADEDA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA POSTA BANK DODOMA

Hivi ndivyo alivyokuwa anaagwa ndugu yetu,kijana mwenzetu wa hapa Mkoani Dodoma aliyefariki juzi kwa ajali ya Gari Ndugu Nicodemus Wadeda, Ibada ya kumwaga ilifanyika nyumbani kwake maeneo ya kisasa na kusafirishwa kupelekwa kwao Mwanza kwa ambapo mwili wake utapumzishwa kwenye Nyumba yake ya Milele, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIBARIKIWE :

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.