Header Ads

VIDEO: ‘Tunakataa viroba lakini hatukubali hatua zinazochukuliwa’ -Mbunge Shabiby


Tunafahamu kwamba serikali imepiga marufuku utumiaji na biashara ya vinywaji aina ya viroba, Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby alisimama bungeni na kuishauri serikali namna bora ambayo ingetakiwa kutumia kuzuia usambazaji wa vinywaji hivyo ikiwa ni pamoja na kuzuia bidhaa kutozalishwa viwandani kwanza na sio kuwakamata wauzaji kama inavyofanya hivi sasa.
Shabiby amesema>>> ‘Katika bajeti ya mwaka jana wakati tunaweka kodi katika vinywaji hata viroba navyo tulivihesabu na vilikuwepo kihalali, ni kweli pombe hii inadhuru watu lakini nashauri wakati mwingine utaratibu utakaotumika kuzuia uanzie kwenye viwanda
Full video nimekuwekea hapa chini tayari


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.