Header Ads

VIDEO: Viongozi wakuu walivyoshiriki kuaga mwili wa Dr. Macha Bungeni


Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakiwemo wa Bunge na wa dini mbalimbali wameshiriki katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA Dr. Elly Macha katika viwanja vya bunge Dodoma leo hii.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.