Header Ads

VIDEO:AJALI MBAYA ILIYOTOKEA DODOMA USIKU HUU YAPOTEZA UHAI WA MWALIMU WA CBE


  • Ajali mbaya imetokea usiku huu, Kwa anayemfaham mr Msuta mwl wa CBE DODOMA Amepoteza uhai wake
    Baada ya kupata ajali ya Gari lake kugonga tren eneo la HAZINA Dodoma.
    R.I.P Mr Msuta
    Wote tuliosoma CBE Dodoma tutakukumbuka Daima
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.