Header Ads

VideoMPYA: Quick Rocka na Mimi Mars wanakualika kuitazama hii mpya “Down”

Star mwenye uwezo wa kubadilika kwenye style za kuflow kuanzia kurap, dancehall mpaka kuimba kawaida, Quick Rocker amekutana na mwimbaji star mpya kwenye game, Mimi Mars kwenye hii single na video mpya “Down” ambayo imeongozwa na Hanscana.
Nimekuwekea hapa chini chukua dakika zako 3:48 kuitazama

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.