Header Ads

WEMA Sepetu Awachana Bongo Movies Kwa Kupost Wapo na Mkuu wa Mkoa Makonda Huku Roma Hajulikani Alipo

Bongo Movies Hali si Shwari Baada ya Majibishano kadhaa ya Wema Sepetu na Wenzake..ilianza hivi baada ya Wema Kupost ujumbe huu akiwalaume:

"This Is Scary... Ni Janga kubwa sana kwa wasanii, kwa wananchi na Kwa Taifa letu kiujumla... Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya wasanii wa Bongo movie wamekazana kupost eti wapo kwa Mkuu wa mkoa wakiongelea WaKorea na Waphilipino.... Mlikumbuka kumuuliza Mheshimiwa alipo Roma na Moni...??? Au ndo mambo ya kila mtu anaangalia lake.... Au labda mpaka atekwe msanii wa Bongo movie pia ndo akili itatukaa sawa...??? Oh God help Us Please... Lakini pia wala sitoshangaa hata kama akitekwa msanii wa bongo movie hakuna atakaehangaika within Us zaidi ya wananchi peke yao na watu wetu wa karibu... Tumejawa sana Unafki...!!! All in All namuonea sana huruma Nancy.... Our prayers are with u mama... Inshallah mumeo atapatikana... Tuzidi kumuomba Mungu........ Kabla sijasahau, Tuwage tuna hata fikra za kujua tupo kwenye wakati gani na tupost vitu gani....!!! Yaani mtu kapotea siku ya pili mko busy na kupost Wakorea na Waphilipino" Wema Sepetu
#BringBackRomaMoni#BringBackRoma&Moni ... Dats it... Nyie wengine ambao mnatokwa mapovu, Ujumbe umefika... Kumbe mnajijua eeh...? Afadhali hata mngekaaga kimya tu.... Maana mnaongea vitu havina hata maana... Alafu I pity all of you...🙄🙄🙄Sijui niseme Elimu ama ni Exposure tu... Ama ni lack of simple knowledge & common sense... Anyways, ngoja tuone... SMH... Kesho nayo ni siku... Goodnyt world... Oh..! Before I forget, feels good to be 1 against many.... Sad part is eti most of them are grown Men....!!! Y'all shud Man Up first...!!! Ila kama nawaona nyama choma yenu pale leaders if Next atakuwa mimi....😅😅😅😅😅 (nimetania tu)... Usiku mwema jamani...

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.