Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

AJALI: Tazama Video ya Mwanamke Akigongwa na Gari Wakati Likirudi Nyuma na Kumbamiza Ukutani..Inasikitisha

Video ambayo ilichukuliwa kwa kamera za CCTV imeonyesha ajali mbaya ambayo imetokea nchini Kenya ambapo imehusisha gari aina ya Vitz, mlinzi alikuwa akimuelekeza dereva wa Vitz sehemu ya kupaki ambapo pembeni palikuwa na mwanamke amekaa pembezoni mwa barabara lakini kilichotokea baada ya hapo kinaweza kukuvunja moyo...

Dereva wa gari hiyo ambae ni mwanamke inavyosemekana alikuwa lena hivyo gari likamshinda kurudisha nyuma na kujikuta amemparamia mwanamke aliyekaa na kumbamiza ukutani..Haijajulikana bado kama mwanamke huyo alipona ama la...

Tazama video Hapa chini:


No comments:

Powered by Blogger.