Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Alichosema Miss TZ Diana baada ya kupewa gari lake miezi 6 baada ya fainali (+video)

Alichosema Miss TZ Diana baada ya kupewa gari lake miezi 6 baada ya fainali (+video)

| No comment


Miss Tanzania 2-16 Diana Edward ameongea baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari aliyoahidiwa kwenye mashindayo hayo yaliyofanyika October 2016.
Diana amesema hakukata tamaa kuhusu kuisubiria zawadi yake hata kama imechukua miezi 6 baada ya fainali yenyewe kufanyika na kwamba hata yeye hajui ilikuaje japo wakati wa shindano kuna gari lilionyeshwa kwamba ndio ilikua zawadi yenyewe.
Nilikua nategemea kupata gari dogo lakini sijui ni aina gani… na kuhusu kuchelewa kupata zawadi siwezi kulaumu sana kwasababu kila mtu anajua sasa hivi uchumi wa nchi umeshuka, namshukuru Mungu tu
Kutazama FULL VIDEO ya Diana akiongea bonyeza play hapa chini