Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / AMBER LULU ATHIBITISHA BIASHARA ANAIFANYA KWA SASA.... NI PESA YAKO TU

AMBER LULU ATHIBITISHA BIASHARA ANAIFANYA KWA SASA.... NI PESA YAKO TU

| No comment
Msanii wa bongo fleva mwenye 'hit song' ya 'Watakoma' Amber Lulu amefunguka kwa kusema sasa hivi hatajishughulisha tena na masuala ya 'video queen' na badala yake atafungua kufungua kampuni yake ya 'video vixen' hivi karibuni.


Amber Lulu amebainisha hayo baada ya kusumbuliwa na wasanii wengi katika simu wakimuhitaji aende kuwafanya kazi yake aliyokuwa anaifanya hapo awali ya unenguaji katika muziki kabla ya kuamua kuingia rasmi katika kuimba huku wengine wakimtaka awatafutie warembo kwa ajili ya kazi hiyo.

"Mimi sifanyi hivyo vitu tena, mimi sasa hivi ni msanii kwa hiyo siwezi kurudi nyuma, sasa hivi natakiwa niwaite ma-video vixen ambao watakuwa kwenye ngoma zangu. Mimi ni boss wa ma- video queen na soon nafungua kampuni yangu ambayo itakuwa inajishughulisha na warembo na wapo tayari wakali 10 ambao ntakuwa nawatoa kwa malipo ukiwataka wafanye video yako" alisema Amber Lulu.