Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / BINTI WA MUGABE APEWA KAZI NZITO NA BABA YAKE , SOMA KUJUA KAZI ALIYOPEWA NA MSHUA WAKE

BINTI WA MUGABE APEWA KAZI NZITO NA BABA YAKE , SOMA KUJUA KAZI ALIYOPEWA NA MSHUA WAKE

| No comment
Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe,amemteua binti yake wa pekee, aliyemaliza masomo yake nchini Singapore, mwenye shahada ya uzamili katika masuala ya usimamizi katika mabenki na fedha, Bona Mugabe-Chikore, kuwa katika bodi ya udhibiti vyombo vya habari.
Bona ameteuliwa kudhibiti vyombo hivyo vya habari ikiwemo na sekta ya filamu katika nchi hiyo. Naye Charity Charamba, ambaye ni msemaji wa jeshi la polisi atakuwa moja ya watu katiaka bodi hiyo ya watu 11.
Bodi hiyo ilitangazwa na Waziri wa mambo ya ndani Ignatious Chombo, ikihusisha wawakilishi wa makundi ya makanisa, wataalamu wa sheria na uhasibu na viongozi wa kitamaduni. Shirika la kitaifa la habari limesema bodi hiyo itadhibiti na kukagua vyombo vya habari na sekta ya filamu nchini na kulenga “matumivi mabaya ya mitandao ya kijamii .