Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Breaking News:Ajali mbaya sana Basi la Ally's na basi la Isanzu Yagongana Uso Kwa Uso

Basi la Ally's lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora limegongana na basi la Isanzu uso kwa uso lililokuwa linaelekea Mwanza kutoka Kahama

Ajali imetokea saa mbili asubuhi eneo la Samuye barabara barabara ya Shinyanga.Hali ya dereva wa basi la Isanzu si nzuri.

Watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya rufaa Shinyanga,hakuna mtu aliyepoteza uhai kwenye ajali hii.

No comments:

Powered by Blogger.