Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / BREAKING: Waandaaji MISS TZ kufikishwa Mahakamani

BREAKING: Waandaaji MISS TZ kufikishwa Mahakamani

| No comment


Kurugenzi ya Sheria ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP imekusudia kuwasilisha kwa kampuni inayoandaa MISS TZ notisi ya madai na kusudio la kuwafikisha Mahakamani kama watashindwa kuwalipa washindi wa MISS TZ 2016.
Hatua hiyo inakuja baada ya Kurugenzi hiyo kupokea malalamiko kutoka kwa mamiss walioshiriki Miss Tanzania 2016 na kushinda nafasi za 2, 3 na 4 kutolipwa fedha zao walizoahidiwa na waandaaji wa mashindano hayo Lino International Agency Ltd.
TSNP imewataja washindi hao kuwa ni Mary Peter Clavery (Miss TZ 02), Grace Christopher Malikita (Miss TZ 03) na Anna Nitwa (Miss TZ 04) ambapo tayari mawakili wemepitia mikataba yao na kujiridhisha kuwa waandaaji wamekiuka.