Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / DAVIDO Akubali Kuokoa Maisha ya Shabiki Wake Aliyetaka Kujiua kwa Kutopata Nafasi ya Kumuona..!!!

DAVIDO Akubali Kuokoa Maisha ya Shabiki Wake Aliyetaka Kujiua kwa Kutopata Nafasi ya Kumuona..!!!

| No comment
WIKI chache baada ya shabiki wa msanii wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido), Chiamaka Okeke kutangaza kujiua ifikapo Agosti 13 ambayo ni siku yake ya kuzaliwa endapo hatakutana na Davido, ni bahati kwamba Davido amekubali kukutana na shabiki huyo siku yake ya kuzaliwa.
Davido amesema yupo tayari kuhudhuria siku hiyo ya kuzaliwa kwa shabiki yake huyo ili kuweza kuokoa maisha yake baada ya kuona malalamiko ya shabiki wake huyo aliyesema tangu 2014, alijaribu kutuma ujumbe, lakini hakufanikiwa kujibiwa wala kukutana naye.
“Wiki chache zilizopita kulikuwa na video ya shabiki wangu akitangaza kujiua kutokana na kunitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio ya kuniona, hivyo sipo tayari kusababisha kifo chake, nitahakikisha nahudhuria siku hiyo ya kuzaliwa kwake ili niokoe maisha yake,” aliandika Davido kwenye ukurasa wake wa Instagram.