Header Ads

FULL VIDEO: Mazishi ya Ivan ‘Don’ Ssemwanga, Uganda

Mwili wa aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye pia likuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye umezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 katika mazishi ya namna yake.
Ayo TV na millardayo zimeweka kambi Kampala, Uganda ili kukuletea kila kinachoendelea katika msiba wa Mfanyabiashara huyo aliyefariki May 25, 2017 akipatiwa matibabu Afrika Kusini na imekusogezea FULL VIDEO ya kilichoendelea hadi anawekwa kwenye nyumba yake ya milele.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.