Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / GABON: Full Time ya Serengeti Boys vs Niger leo May 21

GABON: Full Time ya Serengeti Boys vs Niger leo May 21

| No comment
Timu ya Taifa ya Tanzania U-17 Serengeti Boys leo iliingia tena uwanjani huko Gabon kwenye michuano ya  vijana chini ya umri wa miaka 17 vs Niger ikiwa ni game ambayo ilikua inaamua kama Serengeti Boys wabaki kwenye michuano hiyo au waondoke.
Taarifa ikufikie tu mpaka game inaisha matokeo yamekua ni Niger 1 – 0 Serengeti Boys ambapo kwa matokeo hayo Serengeti Boys wameondolewa kwenye michuano hiyo ya AFCON 2017 kutokana na goli hilo lililofungwa kwenye dakika ya 40.
ULIPITWA? Sababu za Issa wa Serengeti Boys kurudishwa Tanzania, play hapa chini kupata full stori