Header Ads

HII NDIO LIST YA MADEMU WA SUPER STAR (MZEE WA KIKI ) HARMORAPA,AMBER LULU NAYE AKIWA MMOJA WAO


Kuna uvumi kuwa Harmorapa amepata mrembo mpya ambaye amewaacha wengi wameduwaa kwa muonekano wake.

Harmorapa ambaye anajulikana kupenda kiki hata hivyo hajazungumzia jambo hili kwani kwa sasa anajitahidi kusambaza wimbo wake mpya, Nundu aliyoiwachia jana.

Kulingana na picha ambazo zinasambaa mitandaoni rappa huyu wa Bongo amekuwa akionekana na mrembo huyu kitu ambacho kimewafanya wengi kumfikiria kuwa wanatoka pamoja.

Hata hivyo sio siri kuwa rapa huyu anakimbizwa na wanawake ambao wanatamani maisha yake ya sasa. Angalia picha ya mrembo huyo akiwa na Harmorapa hapa:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.