Header Ads

INASIKITISHA SANA TAZAMA PICHA 7: Maziko Arusha ya walioangukiwa na Mti


May 9, 2017 ziliripotiwa taarifa za watu watano kufariki baada ya kuangikiwa na mti katika kijiji cha Ngiresi kilichopo Kata ya Sokoni, Arusha kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha…sasa leo May 13, 2017 miili ya watu wanne kati ya watano imezikwa Arusha.
millardayo.com na AyoTV zilikuwepo na hivi ndivyo ilivyokuwa…
 
HUZUNI: Watu wengine watano wamefariki Arusha…


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.