Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / JACK Wolper Nimekoma Mambo ya Mapenzi

JACK Wolper Nimekoma Mambo ya Mapenzi

| No comment


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa, kwa sasa amekoma kujihusisha na mambo ya mapenzi hivyo hahitaji kusikia suala hilo.


Akichonga na Showbiz Xtra, Wolper ambaye hivi karibuni aliripotiwa kumpiga chini Harmonize aliweka wazi kuwa, kwa sasa hayupo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa madai kuwa, wanaume wengi aliojihusisha nao hawakuwa wakweli, jambo lililomfanya ajiweke mbali na masuala hayo.


“Sihitaji kabisa kusikia suala linaloitwa mapenzi maana nimekoma, ninahitaji kufanya mambo yangu mengine kabisa hasa biashara na muvi,” alisema Wolper.
NA BONIPHACE NGUMIJE