Header Ads

Jay Z wa Bongo hakujua Jay Z ni nani, alichukia sana kuitwa jay z

Msemo ‘Duniani wawili wawili’ ni maarufu sana ukimaanisha watu hufanana ingawa hawatoki ukoo mmoja ambapo inawezekana mmoja hamfahamu mwingine…Tanzania inaye mtu ambaye anafanana na Jay Z hata watu humuita Jay Z wa Bongo ingawa hawajawahi kukutana.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.