Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Kauli ya Diamond baada ya kudaiwa kushtuka Zari alipoenda kumuona Ivan

Kauli ya Diamond baada ya kudaiwa kushtuka Zari alipoenda kumuona Ivan

| No comment


May 22, 2017 kupitia U-heard ya XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown ametusogezea story inayomuhusu mzazi-mwenza wa Zari,  Diamond Platnumz juu ya mama watoto wake huyo kwenda Hospitali kumjulia hali mume wake wa zamani Ivan.
Akizungumza kwenye kipindi hiko Diamond amesema hana namba ya Ivan lakini alishawahi kuonana naye miaka miwili iliyopita na kuhusu Zari kwenda Hospitali ni sahihi kwa sababu afya yake haikuwa nzuri na kudai kuwa amekuwa akimpigia simu ili kujua hali yake.
>>>“Sijawahi kuwa na namba ya Ivan. Nilikutana naye nilivyoenda MTV last two years. Ivan alikuwa anaumwa halafu hali yake ilikuwa serious sana kwa hiyo huwezi kushadadia kwenye mitandao. Zari ni mzazi mwenzake na ana kila haki kuhakikisha anaenda. Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kumpigia simu kumuuliza anaendeleaje.” – Diamond
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story..