Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Kweli hawaongei? tumezinasa picha 3 za Jux na Vanessa jana usiku


Ukitazama mitandao ya kijamii kwa wiki hizi 3 hutoikosa stori ya kuachana kwa mastaa wawili wapenzi ambao ni Waimbaji wa muziki wa bongofleva Vanessa Mdee pamoja na Jux ambapo taarifa nyingine zilidai kwamba wawili hawa hata hawakutani tena wala kuongea.
Japokua hawakuongea chochote kwa Reporters, jana usiku kwenye POOL PARTY Mikocheni camera ya millardayo.com iliwanasa wakiwa wamejiachia na walionekana kuwa na mazungumzo ya mara kwa mara na kufurahi.No comments:

Powered by Blogger.