Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

LIVE: Maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent, Arusha


May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…No comments:

Powered by Blogger.