Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari

Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari

| No comment


Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi.
Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.
Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram “Broken hearted…
… Rest In Peace Ivan…  … SHOCKING NEWS kwakweli… rambirambi zangu kwa familia nzima… Mungu awatie nguvu wale watoto jamani… bado ni wadogo mno… na Mungu amtie nguvu Mama watoto wako…  utakua wakati mgumu kwenu lakini itapita”