Header Ads

MASHINDANI YA MISS UDOM YAFANA NA HUYU NDIYE MISS UDOM 2017 / 2018 SHUHUDIA HAPA....!

Hayawi yahawi sasa yamekuwa, Hatimaye lile shindano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa  la kumtafuta mlimbwende wa Chuo kikuu cha Dodoma sasa limefikia tamati na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana tofauti na matarajio ya waandaji, wakazi wa Dodoma na wanafunzi kutoka chuo cha mzumbe pamoja na wabunge wengi sana wamejitokeza kwa wingi na kufurahia Onyesha hilo ambalo miaka iliyopita lilipoteza Mvuto lakini Serikali ya wanafunzi wa mwaka 2017 pamoja na waandaaji kutoka Matei Intertainment wamefanikiwa kurudisha Heshima iliyopotea miaka ya Nyuma na pia baadhi ya viongozi wengi wa serikali na wabunge wametoa pongezi kubwa sana kwa kufanikisha zoezi hilo lilolofanyika bila ubabaishaji na washiriki wote kupokea zawadi zaopapo hapo... Shuhudia hapa kilichojiri.
Baadhi ya waheshimiwa wabunge wakifwatilia kwa umakini Shindano la Urembo la Miss Udom 2017 2018


 Dokii pamoja na Nance Gerald wa Nyemo Fm


Dokii pamoja na Mpoki ndio walikuwa washereshaji wakuu wa Shindano hilo
Top 5
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.