Header Ads

Mrembo Wema Sepetu Kushiriki Mazishi ya Aliyekuwa Team Wema Damu InstagramWema Sepetu amepata msiba wa mmoja wa followers wake damu kwenye mtandao wa Instagram, Japo hawajawahi onana lakini amefunguka haya:

By @wemasepetu .
Imeniuma kuskia Umetutoka lakini Imeniuma zaidi nilipogundua kuwa You were One of Team Wema Damu kabisa.... And after goin thru your page nikaona jinsi ilivyojaa picha zangu ndo nimezidi kuumia.... Ni njia yetu sote my love... Pumzika kwa amani kipenzi.... Dah... My Condolences to ndugu, jamaa na marafiki... Tulikupenda lakini Allah amekupenda zaidi.... RIP mamy.... @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa .... Dah... Inshallah ntakuepo kwenye mazishi... Innah lillahy wa innah illahy rajiun...πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ˜Š...
.
HAKIKA ALICHOAMUA KUFANYA WEMA NI MFANO WA KUIGWA HATA KWA WASANII /WATU WENGINE... TUSHIRIKI KATIKA MATATIZO YA MASHABIKI ZETU... SI LAZIMA MISIBA.
.
.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MWAJUMA MAHALA PEMA PEPONI.... WOTE TUSEME "AMEN "

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.