Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

MTAZAMO Wangu kwa Flora (Mbasha) Kufunga Ndoa ya Pili..!!!

Kwa mtazamo wangu Flora kufunga ndoa ya pili yuko sasa ...hila yuko sahihi kwa mtazamo wake yeye mwenyewe.
Ila kwa mtazamo wa wakristu ni kosa kubwa, Flora umetibu mwili tu.. Na mwili siku zote ndiyo chanzo cha kwenda kinyume na maisha matakatifu...
Wafilipi 4:13 nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu..
Swali langu ...flora umeyaweza kupitia nani??
Wakati umekwenda kinyume na yeye atupaye nguvu ( Yesu)
Flora unawafundisha nini wengine....Wagalatia 2:14 walakini nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawasawa na ile ya injili , nalimwambia Kefa mbele ya wote, ikiwa wewe myaudi wafuata desturi za mataifa(watu ambao hawaja mpokea yesu) wala si wayaudi,kwa nini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za wayaudi...
Ufunuo wa Yohana 2:26 na yeye ashindaye ,na kuyatunza matendo yangu hata mwisho ,nitampa mamlaka juu ya mataifa....Flora mbona umetupa hazina .
1Yohana 4:6 sisi twatokana na mungu .yeye amjuaye Mungu atusikia .yeye asiyetokana na mungu hatusikii.katika hili twamjua Roho wa kweli n Roho wa upotevu...Je Flora umeongozwa na roho wa kweli au wa upotevu?.??
Waefeso 5:11 wala msishirikiane na matendo yanayozaa giza,bali myakemee... Flora utaweza kuyakemea ....???
Mathayo19:5 akasema kwa sbb hiyo .mtu atamwacha babaye na mamaye ,ataambatana na mkewe ,na hao watakuwa mwili mmoja ..basi aliowaunganisha mungu,mwanadamu asiwatenganishe.
N:B.Huu Ni Mtazamo wa Moja ya Wasomaji Wetu.

No comments:

Powered by Blogger.