Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Mvua kubwa iliyonyesha ndani ya dakika 48 Bagamoyo ( picha 11 )

Bado mvua zimeendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali Tanzania ikiwemo mikoa ya Dar es salaam na Pwani ambapo Jumapili ya May 21 2017 kwenye eneo la Bagamoyo kwenye dakika 48 tu maji yalijaa na hata miti kuanguka.
Unashauriwa kuchukua tahadhari sana kipindi hiki cha mvua maana barabara pia zinateleza na unaweza kujikuta umepata ajali kwenye mazingira ambayo hukutarajia kabisa.

VIDEO: Noma!! Tazama kwenye hii video hapa chini mashindano ya magari Bagamoyo 2017…


No comments:

Powered by Blogger.