Header Ads

Mwili wa Ivan TheDon wawasili Uganda, Zari wa Diamond Alia Kwa Uchungu

Ikiwa ni takribani siku 3-4 tangu Ivan The don (Ex wa zari) kufariki akiwa amelazwa nje ya nchi ya Uganda (southafrica) jana mwili wake umepokelewa kwa machozi na huzuni na watu wa rika tofauti huku mpenzi wake Zari akiwepo katika kuaga mwili wa mpenzi wake wa zamani

Zari amesema atakuwepo pamoja na diamond mpenzi wake wa sasa katika mazishi ya kuuwaga mwili wa Ivan TheDon

Tazama Video

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.