PICHA 13 kutoka mitaa ya Zanzibar baada ya upepo mkali…

Ayo TV na millardayo.com imepiga kambi Visiwani Zanzibar na hapa zinakuletea PICHA 13 za baadhi ya maeneo ambayo yameathirika baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali…hapa ni Nyarugusu katika Mkoa wa Mjini Magharibi na Wilaya ya Magharibi B.

Watoto wakiwa katika eneo liloathirika na upepo mkali Zanzibar

Inapotokea hali kama hii watoto ndio huathirika zaidi


Baadhi ya wakazi wa Nyarugusu baada ya uharibifu uliotokana na upepo mkali

Baada ya upepo mkali, hali ya makazi ya watu imekuwa hivi


Mmoja wa wakazi wa Nyarugusu akizungumza na Ayo TV





EXCLUSIVE: Mashuhuda wasimulia tetemeko lilivyotokea Kagera usiku wa kuamkia leo
No comments:
Post a Comment