Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / PICHA 15: Jay Z na Beyonce walivyovalia Kiafrika kwenye party

PICHA 15: Jay Z na Beyonce walivyovalia Kiafrika kwenye party

| No comment


Mastaa wa dunia Jay Z (47 yrs) na mke wake Beyonce (35) wameichukua trend tena baada ya kutokelezea kwenye picha za pamoja wakiwa wamevalia kiafrika.
Beyonce ambaye anatarajia watoto mapacha aliwaalika watu mbalimbali kwenye ‘baby shower‘ waliyoipa jina la ‘Curter Push Party‘ iliyohudhuriwa pia na watu mbalimbali maarufu wakiwemo Serena Williams, Tina Knowles ( Mama Beyonce), La La Anthony, Vanessa Bayer na Kelly Rowland.
Ni party ambayo watu walivalia kiafrika zaidi na hata burudani zilizokua zikitolewa ngoma ilihusishwa huku Jay Z pamoja na kuvalia lakini pia ‘alitundika’ ramani ya Afrika kifuani.
Mwimbaji Kelly Rowland akionekana kumuwekea Beyonce nguo yake sawa


Kelly na Michelle wakiwasili kwenye party