Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / PICHA 20: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don, Kampala Uganda

PICHA 20: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don, Kampala Uganda

| No comment
AyoTV na millardayo zinafatilia kila kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady ambaye alifariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini akiwa kwenye matibabu ya kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Nimekukusanyia hizi picha 20 kutoka Kayunga Kampala, nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga ambako atazikwa.

Baba mzazi na dada yake Zari wakiongea na ripota wa AyoTV

Moja kati ya magari ya kifahari Hummer alilokuwa akilimiki mfanyabiashara Ivan Don ambaye ni mzazi mwenza wa Zari

Kaburi ambalo mwili wa Ivan Semwanga The Don utazikwa kijijini kwao Kayunga Kampala Uganda

Kilichoandikwa na moja ya magazeti ya Uganda kuhusu kifo na utajiri wa Ivan Don.VIDEO: Yapo hapa majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake je? Bonyeza play kutazama