Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Picha Nyingine za Ibaada ya Kuaga Mwili wa Mume wa Zari, Ivan Ssemwaga

Picha Nyingine za Ibaada ya Kuaga Mwili wa Mume wa Zari, Ivan Ssemwaga

| No comment

Mwili wa Ivan ukiwasili kanisani hapo kwa ajili ya kuaga
MWILI wa aliyekuwa mume wa Zarina Hassan, Ivan Semwanga ambao ulifika Kampala jana kutoka Afrika Kusini, leo umepelekwa katika Kanisa la Mtakatifu Paul la Namirembe jijini Kampala kwa ajili ya kupewa heshima za mwisho kwa ndugu na marafiki.

Mwili wa marehemu ukiingizwa kanisani
Watu mbalimbali maarufu walikuwepo kanisani hapo kwa ajili ya ibada maalum, miongoni mwao akiwemo mfanyabiashara Godfrey Kirumira, Aidah Nantaba, na Waziri wa Nchi wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano.

Semwanga aliyeacha watoto watatu atazikwa kesho Jumanne nyumbani kwao wilaya ya Kayunga.

Zari akifunua jeneza lenye mwili wa marehemu mumewe
Semwanga alifariki katika Hospitali ya Biko Academy iliyoko jijini Pretoria nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa matatizo ya moyo