Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / ROMA MKATOLIKI NDANI YA BIFU ZITO NA MBUNGE WA JIMBO LA NKASI, SOMA HAPA KUJUA UNDANI

ROMA MKATOLIKI NDANI YA BIFU ZITO NA MBUNGE WA JIMBO LA NKASI, SOMA HAPA KUJUA UNDANI

| No comment

Katika kipindi cha #Clouds360 kinachoendelea muda huu, msanii #RomaMkatoliki ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Mh Kessy ( Mbunge wa Jimbo la Nkasi ) kutaja jina lake Bungeni na kudai kwamba Roma aliimba wimbo kumhusu Rais. Hivi karibuni Mh Kessy aliongelea ' sakata la kutekwa kwa Roma ' na kudai kwamba hayo yalitokea baada ya Roma kuimba wimbo unaomkashifu Rais.
.
.
#RomaMkatoliki ameeleza kwamba alisikitishwa na kitendo hicho kwani Mbunge huyo alichokisema kilikuwa kitu cha uongo. " Tena alitaha kabisa jina langu. Akitoka nje ya Bunge yule ukimuuliza hana uhakika. Lakini ameongea vile kwa sababu yeye ana mahali pa kusemea. Je mimi mimi nitasemea wapi ? " - #RomaMkatoliki