Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Shilole, Nay wa Mitego na Kala Jeremiah waongea kuhusu picha za Ben Pol

Shilole, Nay wa Mitego na Kala Jeremiah waongea kuhusu picha za Ben Pol

| No comment


Moja ya picha zilizopata comments nyingi Instagram siku mbili hizi ni picha za mwimbaji wa RNB Tanzania Ben Pol ambazo zilimuonyesha akiwa hajavaa nguo.
Ben Pol hajaongea chochote mpaka sasa kuhusu picha hizo lakini walioongea wengi ni mashabiki na baadhi ya Mastaa wenzake wakisema wamezichukuliaje picha hizo.
NAY WA MITEGO: ‘Sijui amelenga nini… sitaki kuhukumu ile picha, bwana Benard mimi sitaki kuzungumzia hii picha yako, ngoja tusikie neno kutoka kwake sababu mimi sijasikia akizungumzia chochote, nimemtumia msg hajanijibu
SHILOLE:Siwezi kujua alifikiria nini kuipiga ile picha ila nilipoiona ile picha nilishtuka kidogo sababu namjua Ben Pol na yale mambo huwaga ni tofauti, yale mambo huwa tunafanya sisi watoto wa kike’
KALA JEREMIAH:  ‘Mimi najua account ya Ben Pol imekuwa hacked, nilivyoona picha niliamini watu ndio wameedit zile picha siamini kama ni Ben Pol, ni mtu namuheshimu sana
Hayo ni machache tu kati ya waliyoyasema Nay wa Mitego, Shilole na Kala Jaremiah… kuwatazama zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini