Header Ads

SIMANZI: Miili ya mume aliyemuua mkewe kisha naye kujiua imezikwa Mwanza

Wiki moja imepita tangu kuripotiwa taarifa Mwanza ambayo ilimuhusisha Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maximilian kumpiga kwa risasi na kumuua mkewe kisha naye kujiua kwa risasi pia.
Story iliyonifikia ni kuwa miili ya marehemu hao imeagwa kwa pamoja May 29, 2017 nyumbani kwao na kuzikwa kwenye Makaburi ya Mahina Mwanza na kuhudhuriwa na mamia ya Waombolezaji pamoja na Viongozi wa SerikaGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.