Header Ads

VIDEO: Dakika 14 za Godbless Lema kuhusu Usalama wa taifa na mengine


Msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni katika Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ambaye pia ni mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alisimama bungeni May 9, 2017 kuwasilisha maoni ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.