Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: Ilivyokuwa kwenye Harusi ya Madam Flora, Mwanza

Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry ambaye anafahamika sasa kimuziki kama Madam Flora amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
Ndoa ya Madam Flora na Daudi Kusekwa imefanyika jijini Mwanza ambao Ayo TV na millardayo.com imepiga kambi kuhakikisha haupitwi na chochote kilichotokea na hapa nimekuwa video ya tukio zima la harusi hiyo.
“Ninachosema ni kwamba mimi pia nasoma neno la Mungu na ninalielewa vizuri.” – Madam Flora.
Bonyeza PLAY kutazama…No comments:

Powered by Blogger.