Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: “Nimesikia tukio la Polisi kupiga risasi, ngoja niwaambie kitu” – Elibariki Kingu

Serikali imetakiwa kutoa kipaumbele cha Bajeti yake katika Jeshi la Wananchi nchini ili kuboresha nidhamu zao katika kazi. Wito huo umetolewa kwenye Bunge la Bajeti Dodoma May 16, 2017 na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu ambaye amesema amelisikia tukio la Polisi kupiga risasi hewani wakati wa kumkamata aliyekuwa Naibu Waziri wa Fesha, Adam Malima


No comments:

Powered by Blogger.