Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / VIDEO: Rais Magufuli Amuapisha Simon Sirro Kuwa IGP Mpya

VIDEO: Rais Magufuli Amuapisha Simon Sirro Kuwa IGP Mpya

| No comment
IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Mei, 29, 2017 amemuapisha rasmi aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) akichukua nafasi ya Ernest Mangu.
Katika hafla hiyo ya kuapishwa kwa IGP Sirro viongozi mbalimbali wa serikali wamedhudhuria ambao ni pamoja na Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. John Kijazi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba na aliyekuwa IGP, Ernest Mangu.
Zoezi la kuapishwa, lilienda sambamba na kula kiapo cha maadili ya utumishi wa umma kisha likafuatia zoezi la upigaji wa picha za pamoja. kabla ya kuteuliwa kuwa IGP, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.