Header Ads

VIDEO: ‘Unafiki huu utatupeleka pabaya’ – Pauline Gekul


Hii inatokea Bungeni Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ambapo Mbunge wa Babati mjini Pauline  Gekul ambaye aliitaka Serikali kuangalia changamoto zinazowakabili wanajeshi wa Tanzania ikiwemo mazingira mabovu wanayoishi


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.