Header Ads

VideoFUPI: Kundi la Rich Gang lamwaga hela katika Kaburi la Ivan

Aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ amezikwa May 30, 2017 kwao Kampala Uganda ambapo moja ya matukio yaliyojiri katika mazishi hayo ni Kundi maarufu la matajiri Uganda ‘Rich Gang’ kumwaga fedha kaburini kabla ya kushushwa Jeneza.
Hiyo inatajwa kama heshima kwa Marehemu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa watu ambao walikuwa mstari wa mbele katika kusaidia Jamii. Rich Gang wamekuwa na utaratibu huo kila mmoja wa kundi hilo anapofariki.
Shuhudia mwenyewe hapa kwenye hii VIDEO fupi kwa kubonyeza PLAY!!!
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.