Header Ads

WAKATI ZARI NA WANAWE WAKILIA KWA UCHUNGU HUKU DIAMOND NAYE AKISHUSHA BONGE LA BURUNANI KWA MASHABIKI HUKO NAIROBI:

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alialikwa kwenye tamasha la Koroga Festival Nairobi Kenya May 28, 2017 ambapo alitumbuiza akiwa na Band yake.
Baada ya kukonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha hilo Diamond Platnumz anatarajiwa kwenda Uganda kushiriki mazishi ya Ivan Don ambaye alikuwa mume na mzazi-mwenza wa Zari the Boss Lady aliyefariki hivi karibuni akiwa Hospitali Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Bonyeza Play hapa chini kutazama full Video.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.